Kura zinaendelea kuhesabiwa Malawi

Imebadilishwa: 21 Mei, 2014 - Saa 02:17 GMT

Media Player

Hasira miongoni mwa wananchi na ghasia zilizozuka zilisababisha kutofanyika uchaguzi katika baadhi ya vituo vya kura nchini humo.

Sikilizamp3

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Jeshi lilitumwa kudhibiti ghasia zilizozuka wakati wa uchaguzi mkuu nchini Malawi unaoonekana kama mtihani wa kweli kwa utawala wa rais Joyce Banda unaogubikwa kwa kashfa ya rushwa.
Kufikia kumalizika kwa uchaguzi huo jana, baadhi ya vituo vya kupiga kura tayari vilikuwa vimeanza kuwasilisha matokeo. Hasira na ghasia zilisababisha kutofanyika uchaguzi katika baadhi ya vituo nchini humo. Inaarifiwa kwamba raia waliokosa kupiga kura watapata fursa leo ya kuwachagua viongozi wawatakao.
Baruan Muhuza anazidi kufuatilia matukio kutoka Lilongwe.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.