Huwezi kusikiliza tena

Imarisha ulinzi wako mitandaoni

Maafisa kutoka Marekani na Uingereza wamewaonya watumiaji wa mtandao kuimarisha ulinzi wao dhidi ya kundi la wadukuzi wa mtandao wafahamikao kama 'Gameover Zeus'.

Taarifa hii na nyinginezo ni katika makala yetu ya Teknolojia yanayokujia kila wiki.