Athari za kiafya migodini Tanzania

24 Juni 2014 Imebadilishwa mwisho saa 08:15 GMT

Wiki Hii katika Haba na Haba tunaangalia athari za kiafya zinazowakuta wananchi kutokana na shughuli za uchimbaji wa madini.

Changia mawazo yako kupitia www.facebook.com/BBCHabanahaba au kupitia www.twitter.com/BBC_HabanaHaba