Majadala yapotea uingereza

Haki miliki ya picha Reuters

Serikali ya Uingereza imethibitisha kupotea kwa majadala zaidi ya 100 ambayo yanadaiwa kuhisika na kesi za ukatili dhidi ya watoto.

Mmoja wa maofisa wandamizi wizara ya mambo ya ndani ya Uingereza amesema kuwa majadala hayo yaliyopotea ni yale yanayohusika na uchunguzi wa kesi za kuanzia miaka 1980 hadi mwa 1990.

Hata hivyo moja ya kesi ni tuhumza za baadhi ya wanasiasa wa Westminster ambao walituhumiwa katika udhalilishaji wa kingono dhidi ya watoto.

Waziri wa zaman Lord Tebbit anasema kulitakuwa kuwepo ulinzi mkubwa ili kutotoa mwanya wa upotevu huo