Huwezi kusikiliza tena

Ahadi ya mabilioni ya dola kwa Afrika

Rais wa Makani Barack Obama alitangaza ahadi ya msaada wa kifedha kwa mataifa ya Afrika katika kongomano la iongozi hao na Obama.

Kongamano lenyewe lilimalizika Jumatano na lilihudhuriwa na marais 40 wa Afrika.

Mkutano wenyewe ulikuwa sehemu ya juhudi za Marekani kuboresha uhusiano wake na Afrika huku China ikiimarisha uhsurikiano na ushaiwishi kwa bara la Afrika.