Wazee bado hawathaminiwi

Haki miliki ya picha
Image caption Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza

Leo ni siku ya kimataifa maalum ya wazee, Burundi ni mojawapo ya nchi iliyo na wazee ambao wamepaza sauti kwa kulalamikia serikali kuwajali wazee katika akiba za uzeeni,afya,kuwapa malazi na kuwalea kama wazee wa kwengineko duniani.

Mashirika kadhaa yameundwa lakini bado hayajafanya ushawishi Kilio kikubwa ni kwa wazee walio staafu maisha yao ni mazito.