Viumbe hai kuendela kupotea:Utafiti

Haki miliki ya picha AP
Image caption chura

Utafiti wa kisayansi umebaini kuwa kupotea kwa viumbe hai ni tatizo kubwa kwa sasa ikilinganishwa na halisi ya mtazomo wa uwepo wa viumbe hivyo wa zamani.

Jamii ya wanazoulojia kutoka London Uingereza wamesema katika baadhi ya wanyama waliokuwepo siku nyingi zilizopita hivi sasa ni wanaonekana kuwa ni wapya duniani. Ripoti ya wanasayansi hao imeongeza kuwa idadi ya mamalia, ndege, amfibia, na samaki imeshuka kwa asilimia 52 huku idadi ya viumbe wa majini ikiwa ndiyo iliyopungua zaidi hadi kufikia asilimia 76.

Wakielezea mbinu za utafiti wao wanasayansi hao wamesema kuwa wamejiimarisha katika mbinu za utafiti tangu ripoti yao ya mwisho ya miaka miwili iliyopita.

Wakizungumzia maisha ya wanyama pori wataalam hao wamesema kuwa kwa imeshuka kwa asilimia 30, nakuonyesha dhahiri maisha ya wanyama hao yanaathiriwa na shughuli za binadamu.

Msemaji wa wa taasisi iliyofanya utafiti huo ya ZSL anasema ripoti inaonyesha kuwa hatari kubwa ya ongezeko la mabadiliko ya hali ya hewa japokuwa matokeo ya mabadiliko ya hali ya hewa japo kuwa hadi suala hilo lipo katika mjadala.

Taasisi hiyo ya utafiti ya ZSL imeieleza BBC kuwa katika kila kanda kuna mambo watakayozingatia kwa kutoa kipaumbele kwa idadi ndogo ya viumbe vilivyo hatarini kutoweka.