Nafasi ya kazi BBC Swahili

BBC Swahili ofisi ya Nairobi inamtafuta mwandishi habari mwenye uwezo wa kuripoti na kutangaza kwa lugha ya Kiswahili.

Pia lazima uwe na uzoefu wa maswala ya kidijitali. Kwa maelezo zaidi kuhusu nafasi hii ya kazi bonyeza hapa: http://goo.gl/GUrD0h