Clinic za utoaji mimba zafungwa-Brazili

Image caption wanawake wa Brazil wakipinga utoaji mimba.

Polisi katika mji mkuu wa Brazili,Rio de Jeneiro wamesema wameuvunja mtandao mkubwa katika nchi hiyo wa kiliniki za utoaji mimba.

Kufuatia hali hiyo karibu watu wapatao hamsini wamekamatwa na polisi,wakiwemo madaktari,polisi na wanasheria.oparesheni hiyo ya kushtukiza linafuatia idadi kubwa ya vifo na wanawake wawili walio tolewa mimba kinyume cha sheria.

Utoaji wa mimba nchini Brazili ni marufuku pengine kuwe na sababu kubwa ya kufanya hivyo kitabibu, pengine mwenye mimba albakwa,mama akiwa katika hatari ya kufa ama afya ya ubongo ikiwa haiko sawa.