Scotland nje soka ya wanawake

Haki miliki ya picha AP
Image caption Timu za Scotland wanawake kwa waume

Ndoto za timu ya soka ya wanawake ya Scotland za kushiriki kombe la dunia mwakani ziliisha usiku wa kuamkia leo baada ya kubamizwa na Uholanzi kwa ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa mzunguko wa pili wa nusu fainali na kufanya jumla ya magoli kuwa 4-1 baada ya awali kufungwa 2-1.

Kwa matikeo hayo sasa Uholanzi itakutana na Italy katika mchezo wa fainali.