Polisi wauwawa Turkana, Kenya

Turkana, Kenya Haki miliki ya picha

Ripoti kutoka Kenya zinaeleza kuwa askari polisi 7 wameuwawa katika shambulio lilofanywa na watu wa kabila moja la jimbo la Turkana, kaskazii mwa nchi.

Askri polisi 17 bado hawajulikani waliko baada ya tukio hilo ambapo polisi waliviziwa na kushambuliwa wakati wa operesheni zao za usalama Ijumaa usiku.