Vipigo vyatawala:Ligi ya Europa

Haki miliki ya picha bbc
Image caption Uwanja wa Soka

Michuano ya Europa ligi imeendelea kutimua vumbi kwenye viwanja kadhaa barani Ulaya usiku wa kuamkia leo ambapo Evaton ya England imeidadavua Lille ya Ufaransa kwa mabao 3-0 ilhali ndugu zao wa Tottenham Hotspur wakiifumua Asteras Tripolis kwa mabao 2-1

Legia Warsaw ya Poland imeinyuka Metalis Kharkiv ya Ukraine pia mabao 2-1 wakati ambapo FC Copenhagen ya Denmark wakiwa nyumbani wameruhusu kufumuliwa mabao 4-0 na Club Brugge ya Ubelgiji.