Majeshi ya Marekani yashambulia Khorasan

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Khorasan

Jeshi la Marekani limefanya mashambulio ya anga dhidi ya wapiganaji wa makundi ya kigaidi katika eneo linaloitwa Khorasan .

Ripoti kuhusiana na mashambulizi hayo imesema jumla ya sehemu tano pamoja na magari na nyumba karibu na mpaka wa Uturuki vilishambuliwa na wapigna hao.

Wangalizi wa masuala ya haki za binadamu kutoka Uingereza wamethibisha kufariki kwa wana usalama hao. Hata hivyo katika shambulio hilo askari kadhaa na watoto wamekufa kutokana na mashambulio haya.