Shughuli za ukataji miti Amazon zapungua

Serikali ya Brazil inasema shughuli za ukataji miti katika msitu mkubwa wa Amazon, umepungua kwa asilimia 18 mwaka uliopita.

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Msitu wa Amazon

Lakini wataalam wa mazingira wanasema kuwa picha za mara kwa mara za satellite, zinaonyesha kuwa kungali bado kuna uharibifu mkubwa wa mazingira katika msitu huo kwa mwaka wa pili mfululizo.