Kesi dhidi ya Mubarak yatupiliwa mbali

Image caption Habari zinazotufikia

Mahakama iliokuwa ikisikiliza kesi ya aliyekuwa rais wa misri kuhusu mauaji ya halaiki wakati wa maandamano ya kumuondoa mamlakani imetupili mbali kesi hiyo.