Wanajeshi wauawa Afghanistan

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Shambulio lililofanywa na Taliban

Polisi nchini Afghnaistan wamesema wanajeshi sita wameuawa katika shambulio la bomu mjini Kabul.

Wamesema shambulio hilo, lakujitoa mhanga lililenga basi lililokuwa limejaza wanajeshi mashariki mwa mji huo.

Wapiganaji wa Taliban wamedai kuhusika na shambulio hilo.