Huwezi kusikiliza tena

TZ:Polisi wamtafuta mtoto aliyetoweka

Polisi wametangaza kutoa dau la shilingi milioni tatu sawa na dola 1,700 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa mtoto albino, Pendo Emmanuel aliyetoweka nyumbani kwake na kupelekwa mahali pasipojulikana mwezi uliopita mkoani Mwanza.

Mwandishi wa BBC wa Dar es salaam,Tulanana Bohela anaarifu.