Biashara ya miraa yaendelea somalia
Huwezi kusikiliza tena

Usafirishaji wa miraa Somalia warejelewa

Usafirishaji wa miraa kutoka Kenya hadi Mogadishu umerejelewa baada ya kusitishwa kwa siku tatu. Kulikuwa na mtafaruku juu ya kodi inayotozwa kwa zao hilo nchini Somalia lakini sasa wakulima wa zao hilo na wachuuzi wameafikiana juu ya hilo.