Huwezi kusikiliza tena

Ubakaji watoto Zanzibar

Image caption Watoto wanahitaji kulindwa

Vitendo vya udhalilishaji watoto ikiwemo ubakaji visiwani Zanzibar vimeelezwa kuongezeka na kuleta athari kwa watoto hao.

Kwa mujibu wa takwimu za jumuia ya Wanasheria wanawake Zanzibar ZAFELA, matukio ya ukatili dhidi ya watoto ikiwemo ubakaji yaliyoripotiwa kwao katika mwaka 2014 tu, ni 134.

Halima Nyanza alitembelea visiwa hivyo na kuandaa makala ifuatayo: