Ukatili dhidi ya watoto kisiwani Zanzibar
Huwezi kusikiliza tena

Ukatili unaofanyiwa watoto Zanzibar

Vitendo vya ukatili na udhalilishaji watoto ikiwemo ubakaji visiwani Zanzibar vimeelezwa kuwa tishio kutokana na kuongezeka na kuleta athari kwa watoto hao.

Kwa mujibu wa takwimu za jumuia ya wanasheria wanawake Zanzibar ZAFELA, matukio ya ukatili dhidi ya watoto ikiwemo ubakaji yaliyoripotiwa kwao katika mwaka 2014 tu, ni 134.

Halima Nyanza anaarifu zaidi.