kifua kikuu ambayo  ni sugu kwa dawa
Huwezi kusikiliza tena

Kifua kikuu ambayo ni sugu kwa dawa

Katika kuadhimisha siku ya kifua kikuu duniani kati ya mengi ambayo yameangaziwa ni pamoja na kuyahimiza makampuni makubwa ya kutengeneza

dawa kuendelea kujitahidi katika kupata tiba mpya.

Vile vile, aina fulani ya kifua kikuu ni sugu kwa dawa zilizopo sasa, na ni vigumu kupata tiba kamili.

Lakini maisha kwa jumla ni vipi kwa mgonjwa wa kifua kikuu? Anne Soy ametuandalia taarifa hii kutoka Nairobi.