Amini usiamini ,Familia moja nchini Kenya inajumla ya watoto 9  wenye ulemavu wa macho
Huwezi kusikiliza tena

Familia ya Watoto 9 na ulemavu wa macho

Je umewahi kuwaona watu wa familia moja wakiwa na ulemavu wa aina moja karibu wote?

Huko Bungoma Magharibi mwa Kenya kuna familia moja ambayo ina wavulana tisa, wanane kati yao ni walemavu wa macho, na mmoja ana jicho moja yaani chongo ambalo halioni kabisa.

Hata hivyo mama yao si mlemavu wa macho pia wapo dada zao wanne ambao nao hawana ulemavu.

Mwandishi wa Nairobi Paul Nabiswa alitembelea familia hiyo na kisha kutuandalia taaifa hii ifuatayo