Nuklia Iran:China yataka mwafaka

Haki miliki ya picha AP
Image caption china

China imetaka kuwepo kwa maelewano kwenye mazungumzo ya nuklia na Iran ikionya kuwa jitihada hizo zatakuwa ni bure ikiwa makubaliano hayataafikiwa.

Waziri wa mashauri ya kigeni wa China Wang Li alikuwa akiongea wakati mazungumzo kati ya Iran na mataifa mengine yalipokuwa yakiingia siku ya saba

Haki miliki ya picha REUTERS
Image caption china

Iran na Urusi zimeonyesha matumani kuwa makubaliano hayo yataafikiwa.