Dunia na malimwengake, watu wakijiachia kwa raha zao
Huwezi kusikiliza tena

Je waweza kwenda utupu? nenda Mpenjati

Mwishoni mwa juma Pwani ya Mpenjati iliyoko A-Kusini ilifunguliwa rasmi kwa watu wote kwenda utupu katika Pwani hiyo kwa wale wanaotaka kuogelea au kustarehe .

Wakuu wa Manispaa wa Pwani hiyo wanasema itakua kivutio kizuri kwa utalii wa eneo hilo. Hata hivo kumekuwako upinzani kutoka katika vyama vya kidini kama anavyoeleza mwandishi wetu Omar Mutasa kutoka Johannesburg .