Mtu anayejigamba kuwa mungu magharibi mwa Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Mtu anayejigamba kuwa 'mungu' Kenya

.Je, umewahi kusikia mtu anajiita Mungu na ni binadamu wa kawaida na wafuasi wake wanaamini kuwa yeye ndiye muumba wao? Yuko magharibi mwa Kenya anajiita Jehova Wanyonyi na anadai kuwa yeye ndiye Mungu. Paul nabiswa alimtembelea kwake katika kijiji cha Chemororoch kilomita hamsini hivi kutoka mji wa Eldoret na kuandaa taarifa ifuatayo.