Kwa raha zao DRC ,bora muziki kuliko taarifa za habari
Huwezi kusikiliza tena

Bora filamu kuliko habari nchini Congo

Nchini jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo,idadi ya watu wanao sikiliza na kufuatilia taarifa za habari na kusoma magazeti inaonekana kupungua huku weengi wakiwa wapenzi wa muziki na filamu pekee.Wengi husema kuwa radio na baadhi ya runinga hutangaza taarifa za propaganda tu na ndo maana wanaamua bora wafuate filamu au kujisikilizia muziki. Mwandishi wetu wa mashariki mwa Kongo BYOBE MALENGA alitutumia taarifa ifuatayo.