Mjadala juu ya elimu DRC.
Huwezi kusikiliza tena

Waalimu Congo watishia kugoma endapo..!

Waalimu wa uvira na Fizi,mkoani kivu kusini mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo,watishia mgomo iwapo hawatalipwa mishahara yao katika muda mwafaka.

waalimu hao wanaliomba shirika la kikatoliki CARITAS Uvira lihusikalo na kulipa waalimu eno hilo,kuwalipa pesa zao huku waalimu hao wakisema kuna njama kati ya serikali na shirika hilo.

Mwandishi wa BBC mashariki mwa Kongo BYOBE MALENGA alizungumza na baadhi ya waalimu hao na hii hapa ripoti yake.