Morsi ahukumiwa miaka 20 gerezani

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Rais wa zamani Mohammed Morsi

Habari za hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Mosri amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kuwachochoea wafuasi wa kundi la Muslim Brotherhood kuwaua waandamanaji wa upinzani alipokuwa madarakani mwaka 2012.