Armenia wakumbuka vita kuu ya dunia

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Raia wa Armenia wakiwa katika kumbukumbu ya mauaji vita kuu ya dunia.

Raia wa Armenia kutoka pande zote Duniani wanakusanyika mji mkuu wa Armenia Yerevan kufanya kumbukumbu ya mauaji ya watu milioni moja na nusu mjini Ottoman Uturuki katika vita ya kwanza ya dunia miaka 100 iliyopita. Wakuu wa serikali wakiwemo Marais wa Urusi na Ufaransa wanatarajiwa kuhudhuria kumbukumbu hizo ambazo wengi wanaziita kama mauaji ya kimbari ya Armenia. Hata hivyo Uturuki inapinga kumbukumbu hizo ikidai kuwa mauaji hayo makundi mengine zaidi wakati huo wa vita hivyo na kwamba si Armenia pekee.