Ni mwezi mmoja umetimia tangu shambulizi hilo kutekelezwa
Huwezi kusikiliza tena

Mwezi mmoja baada ya shambulizi Garissa

Leo ni takriban mwezi mmoja tangu tukio la kigaidi kutokea katika chuo kikuu cha Garisa huko nchini Kenya.

Katika tukio hilo takriban watu mia hamsini waliuawa katika tukio hilo wengi wao wakiwa na wanafunzi chuo hicho.

Kulikuwa na hali ya wasi wasi hapo awali lakini sasa hali imeanza kurejea kama kawaida.

Wanyama wa chibusiri kwa sasa hupo Garisa, Wanyama anaeleza hali ikoje Garisa kwa sasa.