Jinamizi la mihadarati G Bissau makala ya(4)

http://hooked.bbcnewslabs.co.uk/sw/addicted/#14

Image caption Jinamizi la mihadarati G Bissau makala ya(4)

Riwaya ya ulanguzi wa mihadarati na athari yake kwa kijana Buba ambaye ameanza kufuja mali yake na kuwa mteja

Ameuza teksi yake na tayari tabia zake mbaya zimemfanya babake akamfukuza nyumbani kwake.

Hajui aende wapi lakini sharti atimize kiu cha mihadarati.

Tizama sehemu ya nne ya riwaya hii.

Iwapo ulikosa makala tatu yaliyotangulia http://hooked.bbcnewslabs.co.uk/sw/the-tide-rolls-in/#1 Tazama sehemu ya Pili http://hooked.bbcnewslabs.co.uk/sw/a-good-life/#5 na ile ya tatu hapa http://hooked.bbcnewslabs.co.uk/sw/a-long-way-down/#9