Raia wa Ethiopia wanapiga kura kumchagua waziri mkuu mpya
Huwezi kusikiliza tena

Raia wa Ethiopia wapiga kura

Takriban watu milioni 37 wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa kwanza wa Ethiopia tangu kifo cha waziri mkuu Meles Zenawi aliyehudumu kwa kipindi kirefu.Je, raia wa Ethiopia wana chaguo lipi?na ni nani atakayebuni serikali ijayo.BBC inakuhabarisha kuhusu uchaguzi huo.