Tarehe ya uchaguzi wa Burundi yatajwa

Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Burundi imetangaza ratiba ya tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge.

Hata hivyo, msemaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Burundi Prosper Naugwania amesema bado vyama vya siasa havijatoa kauli kuhusu tarehe hizo.

Awali, nilizungumza na Msemaji huyo wa Tume ya uchaguzi ya Burundi nae anaanza kwa kuzitaja tarehe hizo: