Polisi wamsaka muuaji wa Charleston

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Muuaji

Polisi nchini Marekani wanamtafuta mwanamume mzungu aliyewaua watu tisa waliokuwa wakisali katika kanisa moja na watu weusi katika mji wa Charlston South Carolina.

Haki miliki ya picha BBC World Service
Image caption Ramani ya mji wa Charleston

Wanasema kuwa mwanamume huyo ambaye yuko umri wa miaka ya 20 - alikuwa kanisani humo na waumini hao kwa karibu saa moja kabla ya kunyanyuka na kuwamiminia risasi.

Haki miliki ya picha CHARLESTON POLICE DEPT
Image caption Muuaji

Tayari maafisa hao wametoa picha za kamera na gari ambalo alikuwa akitumia.

Haki miliki ya picha BBC World Service
Image caption Jamii ya mji wa North Carolina

Idara ya haki imefungua uchunguzi wa uhalifu wa chuki kuhusu shambulizi hilo.

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Maafisa wa Polisi mjini Charleston

Mkuu wa polisi hapo mjini ametaja uhalifu huo kama chuki ya ubaguzi wa rangi.