Marekani na Cuba warejesha ushirikiano

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Maofisa wa Cuba na Marekani katika mkutano wa pamoja

Maafisa wa marekani wanasema Marekani na Cuba imefikia makubaliano ya kufungua upya ubalozi mjini Washington na Havana. Tangazo rasmi litatolewa rasmi siku ya Jumatano. Mpango huo ni hatua kubwa katika mchakato ambao ulianza na mazungumzo ya siri na kuwa rasmi mwaka jana decemba ambapo maraisi wote wawili alichukua mbali, Desemba mwaka jana wakati marais wote wawili alitangazania ya mahusiano mapya. Mazungumzo yalicheleweshwa na chukua miezi ili kutathmini ju ya uhuru wa kutembea kwa wanadiplomasia na mipango ya benki mpya nchini Cuba. Mwezi uliopita Marekani iliondoa Cuba kutoka kwenye orodha yake ya nchi zenye kujishughulisha na ugaida baada ya viongozi hao wawili kukutana katika Mkutano wa nchi za bara la marekani.