Waandishi watatu waachiliwa Ethiopia

Waandishi wa habari watatu nchini Ethiopia wameachiliwa huru baada ya kuwekwa jela kwa zaidi ya mwaka mmoja kwa tuhumiwa za kujihusisha na ugaidi,Sita kati ya hao ni wa kutoka katika kikundi cha wanaharakati cha zone 9 wao wamesalia jela.Huku wakikataliwa kusikilizwa kwa kesi yao.

kukamatwa kwao na kuwekwa kizuizini kumeleta malalamiko ulimwenguni.Kikundi cha utetezi wa haki kimesema Ethiopia wanatumia sheria ya kupambana na ugaidi ili kukandamiza wapinzani wa kisiasa na kuvitisha vyombo vya habari.