Ugiriki yakubaliana na masharti magumu

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Waziri Mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras akiwa Bungeni

Bunge la Ugiriki limepitisha masharti magumu yaliyowekwa na Jumuiya ya nchi za ukanda wa

Hata hivyo Ugiriki imesisitiza makubaliano hayo kabla ya hatua za msaada wa kifedha wa kuiokoa Ugirik kuanza.

Waziri Mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras, amesema kuwa hakubaliani na masharti yaliyowekwa,lakini walnalazimika kukubali kutokana na hali ya mdodoro wa uchumi uliopo na kwa kuwa inahitaji kubaki katika ukanda wa sarafu ya Euro.

Wakati ndani ya Bunge la Ugirik makubaliano hayo yakifikiwa,lakini nje ya ukumbi huo wa bunge na maeneo mengine mjini Anthen kulikuwa na vurugu pamoja na mapambano yanayosababishwa na wale ambao bado hawakubaliani na uamuzi uliofikiwa na serikali ya Ugiriki.