Muuaji wa wanajeshi wa Marekani huko Chattanooga Tennessee
Huwezi kusikiliza tena

Mtu mmoja awaua wanajeshi 4 wa Marekani

Mtu mwenye silaha amewaua askari wanne wa jeshi la wanamaji wa Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo mawili ya jeshi hilo katika mji wa Chattanooga, Tennessee. Wanajeshi hao wote waliuawa katika jengo moja.