Huwezi kusikiliza tena

Zoezi la Uandikishaji wapigakura, Dsm.

Zoezi la Uandikishaji kwenye daftari la Kudumu la Wapiga kura nchini Tanzania, bado linasuasua kutokana na kasoro zilizojitokeza.

Zoezi hilo ambalo kwa sasa linafanyika kwa kutumia mfumo wa Teknolojia ya Kielektroniki BVR, bado linakabiliwa na changamoto mbalimbali. Ni siku ya pili leo toka zoezi hilo lianze jijini Dar es Salaam na kupewa siku 10 tu.

Sikiliza ripoti ya Halima Nyanza