Rais Obama awasili Nairobi

Haki miliki ya picha AFP GETTY
Image caption Rais wa Marekani Barack Obama

Rais Barrack Obama wa Marekani, tayari amewasili mjini Nairobi.

Ndege iliyombeba rais obama ilitua katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta muda mfupi baada ya saa mbili za usiku.

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Rais Obama akisalimiana na mmoja wa ndugu zake baada ya kuwasili katika Uwanja wa Jomo Kenyatta

Alipowasili Rais Obama amelakiwa na mweyeji wake Rais Uhuru Kenyatta.

mwendo wa saa mbili na robo rais Obama alitua ndege yake.

<span >Obama sasa ameandikisha historia ya kuwa rais wa kwanza wa Marekani, kuzuru Kenya akiwa ofisini.

<span >