Man United 1-0 Tottenham Hotspurs

Image caption Bao alilojifunga mwenyewe la Kyle Walker

Bao alilojifunga mwenyewe la Kyle Walker, katika dakika ya 22 ya kipindi cha kwanza, lilitosha kuwapa vijana wa Louis van Gaal ushindi muhimu na alama tatu za kwanza dhidi ya mahasimu wao Tottenham Hotspurs.

United ilikuwa imeikaribisha Hotspurs katika uwanja wa Old Trafford katika mechi ya kufungua msimu huu wa ligi kuu ya premia ya Uingereza.

Image caption Rooney !

94 Manchester united wanafungua msimu huu kwa kuandikisha ushindi muhimu dhidi ya Tottenham Hotspurs

94'' Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs

94'' Mpira umekwisha

Image caption Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs

Kipa wa United akilazimika kufanya kazi ya ziada katika dakika 4 za mwisho kuinyima

Tottenham Hotspurs bao

91''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs

90'' Sasa ni dakika nne za ziada

90'Muda wa kawaida umekamilika.

88''Tottenham Hotspurs wanafanya mashambulizi kwenye lango la Man United

Image caption Matteo Darmian

82 'Muitaliano Matteo Darmian akifanya mambo yake katika mechi yake ya kwanza ya Manchester united

79''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs

71''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs

Image caption 79''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs

70''Takwimu:Manchester United 50%-50% Tottenham Hotspurs

69'' Schweinsteiger amekaribishwa na kadi ya njano

Image caption Bastian Schweinsteige

67''Bastian Schweinsteiger ndiye mchezaji wa kwanza Mjerumani kuichezea Man United

64'' United wanashambulia lango la Tottenham kwa mara ya kwanza tangu mech hii ianze

Image caption Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur 55''

62''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur

59''Mchezaji mpya kutoka Ujerumani Schweinsteiger ameingia uwanjani

55'' Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs

53''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs

52''Mchezaji mpya kutoka Ujerumani Schweinsteiger anajifua mashabiki wanashangilia!

Image caption Man United 1-0 Tottenham

46'' Kipindi cha Pili kimeanza

45''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur

Wachezaji wapya wa Man United walioanza mechi hii

Memphis Depay , Morgan Schneiderlin, Matteo Darmian Sergio Romero

Sheria zilizobadilika katika msimu huu.

Sheria ya Offside

Adhabu dhidi ya kudanganya kuwa umeumia ilimpinzani wako apewe kadi

Meneja sharti watii sheria na kanuni zilizowekwa

Mpira mpya

Image caption Manchester United vs Tottenham Hotspur

45''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur

45'' Kipindi cha kwanza kimekwisha.

22''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur

Timu:Tottenham Hotspur

13 Vorm02 Walker04 Alderw''eireld05 Vertonghen 33 Davies15 Dier06 Bentaleb19 Dembélé23 Eriksen22 Chadli10 Kane

Wachezaji wa akiba: 01 Lloris08 Mason11 Lamela16 Trippier20 Alli 27 Wimmer 28 Carroll

Timu:Manchester United

Image caption Christian Eriksen alipoteza nafasi nzuri kutoka Kane

20 Romero 36 Darmian12 Smalling17 Blind23 Shaw16 Carrick28 Schneiderlin08 Mata07 Depay18 Young10 Rooney

Wachezaji wa akiba:14 Hernández21 Herrera25 A Valencia31 Schweinsteiger33 McNair44 Pereira50 Johnstone

Manchester wanafungua udhia dhidi ya Tottenham Hotspur

Lakini ni timu gani ambayo ni maarufu zaidi katika bara hili?

Haki miliki ya picha PA
Image caption Kocha Van Gaal

Nembo hii ya kimataifa katika soka inafuatiliwa na zaidi ya watu bilioni moja kote duniani na watu milioni 260 kati ya hao wapo barani Afrika.

Huku msimu mpya wa mwaka 2015-16 ukianza, majumba ya starehe na mikahawa kutoka Cape Town hadi Cairo

itakuwa ikijiandaa kukidhi mahitaji ya mashabiki wengi watakaokuwa wakifika tayari kushudia kipute hicho kwenye runinga kubwa kubwa zilizotundikwa ukutani.

Kwa mashabiki wa soka barani Afrika, Ligi Kuu ya England ndio sasa basi, ndio mwisho wa kila kitu, ndio eneo lao la maabadi.