Mbio za mita 100 ni leo China

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mbio za mita 100 ni leo China

Mbio za mita 100 upande wa wanaume , moja ya mbio zinazoenziwa zaidi zinafanyika muda mfupi unaokuja katika mashindano ya riadha duniani yanayoendelea nchini China.

Wanaridha wakuu wa mbio hizo ni pamoja na bingwa wa dunia mjamaica Usain Bolt na mmarekani Justin Gatlin ambaye ambaye pia amepigwa marufuku mara mbili kwa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu.

Mwandishi wa bbc mjini Beijing anasema kuwa ikiwa Gatlin atashinda huenda ikaathiri jina la mchezio wa riadda ambao umekumbwa na madai ya hivi majuzi kutokana na madai matumizi makubwa ya dawa za kuongeza nguvu.