Je Catalonia itajitenga na Uhispania ?

Haki miliki ya picha AP
Image caption Zaidi ya watu milioni tano wamejiandikisha kupiga kura .

Watu wa eneo la Catalonia nchini Uhispania wameanza kupiga kura katika uchaguzi uunaotazamwa kuwa mtihani mkubwa wa kuunga mkono Uhuru wa eneo hilo tajiri.

Zaidi ya watu milioni tano wamejiandikisha kupiga kura .

Wanachama wa vyama vya Catalan, wanaotaka kujitenga na ambao wanaongoza katika kura ya maoni wanasema kuwa ushindi utavipa vyama vyao uwezo wa kutangaza

Haki miliki ya picha AP
Image caption Je Catalonia itajitenga na Uhispania ?

kwa kauli moja uhuru wao.

Serikali ya Uhispania ambayo inakataa kata kata kukubalia shughuli hizo za upigaji wa kura ya maoni kuhusiana na swala hilo imetaja kura hiyo ya maoni kama upuzi

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola akipiga kura

mtupu.

Uchaguzi huo unaonekana kama swala muhimu katika historia ya hivi punde ya Uhispania.