Maelezo kuhusu uraia wa waathiriwa wa Hajj

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Baadhi ya waathiriwa wa mkanyagano nchini Saudia

Maelezo ya uraia wa waathiriwa wa mkanyagano uliotokea wakati wa Hajj nje ya Mecca siku ya alhamisi yanaendelea kutolewa.

Hii ndio idadi ya watu waliofariki kutoka barani Afrika kulinga na chombo cha habari cha AFP.

-Morocco: 87 walifariki kulingana na vyombo vya habari nchini humo 3 walifariki huku wengi wengine wakiwa hawajulikani waliko kulingana na serikali.

Misri: 55 walifariki

Nigeria: 54 walifariki

Cameroon: Tariba watu 20 walifariki

Niger: 22 walifariki

Ivory Coast: 14 walifariki , 77 wakiwa hawajulikani waliko

Chad: 11 walifariki

Somalia: 8 walifariki-kulingana na vyombo vya habari

Algeria: 8 walifariki

Senegal: 5 walifariki

Libya: 4 walifariki

Tanzania: 4 walifariki

Kenya: 3 walifariki

Burkina Faso: 1 alifariki

Burundi: 1 alifariki ,hii ni kulingana na muungano wa waislamu.

Tunisia: 1 alifariki