Aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso ashtakiwa

Haki miliki ya picha
Image caption Burkina Faso

Utawala nchini Burkina Faso umemfungulia mashtaka mwanajeshi muasi ambaye aliongoza mapinduzi wa kijeshi yaliyofeli mwezi uliopita

Jenerali Gilbert Diendere ambaye alikuwa mkuu wa kikosi cha kumlinda rais, anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo mauaji, uharibifu wa mali na kuhatarisha usalama wa taifa.