Wanafunzi wa Bugogo walilia madarasa Shinyanga

Image caption Bugogo

Mwandishi wetu Tulanana Bohela ametembelea shule ya msingi ya Bugogo mkoa wa shinyanga nchini Tanzania ambapo madarasa hayana sakafu na madawati.

Image caption Bugogo

Madarasa hayo yaliojaa nyufa katika ukuta sio thabiti na walimu na wanafunzi wanaogopa kuendelea na masomo wakihofia kwamba upepo mkali unaweza kuangusha kuta hizo.