Phindile Sithole-Spong
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke anayetetea walio na virusi vya Ukimwi

Phindile Sithole-Spong ni mwanaharakati kutoka Afrika Kusini anayeishi na virusi vya Ukimwi.

Amekuwa akiongoza juhudi za kukabiliana na unyanyapaa dhidi ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi na hususan miongoni mwa vijana.

Mwandishi wa BBC Wandi Ntengento ametuandalia taarifa hii inayosomwa na David Wafula.