Kimara
Huwezi kusikiliza tena

Uchaguzi wakwama Kimara Dar es Salaam

Wapiga kura katika eneo la Kimara Stop Over, jijini Dar es Salaam hawajafanikiwa kupiga kura kufikia sasa.

Mwandishi wa BBC Tulanana Bohela ametembelea kituo hicho na anasimulia yanayojiri.