Magufuli
Huwezi kusikiliza tena

Magufuli aapishwa na kuwashauri wapinzani

John Magufuli ameapishwa kuwa rais mpya wa Tanzania na kuwaambia wapinzani wake kwamba yuko tayari kufanya kazi nao kwa ajili ya kuiendeleza nchi hiyo.

Aidha, amewashukuru Watanzania kwa kuwa na imani naye na kumpigia kura.