6 wahukumiwa kifo kwa kuua wato 2 Bangladesh

Haki miliki ya picha focus bangla
Image caption Wanaume 6 wamehukumiwa kifo kwa kupatikana na hatia ya kuua watoto 2 katika visa vilivyoibua hasira nchini Bangladesh

Wanaume 6 wamehukumiwa kifo kwa kupatikana na hatia ya kuua watoto 2 katika visa vilivyoibua hasira nchini Bangladesh

Mahakama ya mji wa Sylhet iliwakuta na hatia kufuatia mauaji ya mvulana mwenye umri wa miaka matineja wawil.

Walipatwa na hatia ya kumpa kichapo Samiul Alam Rajon o mwenye umri wa miaka 13 hadi akafa.

Mauaji hayo yalirekodiwa kwa simu na kuchapishwa kwenye mitandao ya kijamii.

Raia wa taifa hilo walighadhabishwa sana na walichokiona na kuishurutisha serikali kuwachukulia hatua kali.

Katika kisa cha pili, wanaume wawili ambao walikuwa na hasira walimpulizia hewa ndani ya mwili wa mvulana mwengine hadi akafa.

Wanaume waligadhabishwa na hatua ya Samiul Alam Rajon kuacha kazi na kujiunga kampuni pinzani.

Walimbana na kumuingiza paipu yenye upepo mkali hadi akafa.

Walidai kuwa alikuwa amewaibia.

Madai yaliyopingwa na walioshuhudia.

Tukio hilo lililotokea katika mji wa Khulna liliwakasirisha sana wenyeji.